Saturday, February 17, 2018
   
Text Size
image image image image
New MCT Board meets for the first time The newly elected Governing Board of the Media Council of Tanzania (MCT) held its first meeting on February 13, 2018.
MSA case slated for hearing March 13 at EA Court of Justice A case filed by media stakeholders at the East Africa Court of Justice, challenging some articles of the Media Services Act of 2016 is scheduled for hearing on March 13, 2017.
CoRI Special Committee to start meeting TV owners next week A special committee of Heads of member organizations of the Coalition on the Right Information (CoRI) has planned to start meeting with owners of Television station which were fined by the Ethics Committee of the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) as of next week.
Retired Judge Mlay commends complainants for using MCT’s Ethics Committee The Chairperson of the Ethics Committee of the Media Council of Tanzania retired judge, Juxon Mlay has highly commended those aggrieved by media coverage for registering complaints with the committee.

Resource Centre

IRC1

Press Clippings

Media Council of Tanzania Website

Umoja wa Haki  ya Kupata Habari (CoRI) umekutana  Jijini Dar es Salaam Oktoba 3, 2017  na kujadili masuala  kadhaa yanayohusu  vyombo vya habari.

Mkutano huo uliofanyika chini ya mwenyekiti wa CoRi, Kajubi Mukajanga,  ulijadili masuala muhimu  kama vile hatua za serikali za kufungia magazeti mara kwa mara.

Pia ulijadili ombi la Wizara ya Habari la Wizara ya Habari ya kutaka  wadau watoe maoni  kuhusu Kanuni za maudhui ya mtandaoni  na za utanganzaji.

Mkutano huo uliohudhuriwa na wawakilishi wa  Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari  Tanzania (MOAT), Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Sikika, Twaweza, Nola,  Baraza la Habari Tanzania, Umoja wa Watetezi wa Haki za Binadamuna Taasisi ya Vyombo vya Habari la Nchi za Kusini mwa Afrika  tawi la Tanzania (MISA- Tan) uliamua kuwa CoRI  iwasilishe  mapendekezo yenye msimamo wa pamoja.

Media Headlines

MCT Videos
videoMore Videos...

Photo Gallery
photoMore Photos...

Journalism Awards

awaa

Visitors Counter

2468379
Today
All days
512
2468379

OUR RSS

  • No feeds found!