Saturday, February 17, 2018
   
Text Size
image image image image
New MCT Board meets for the first time The newly elected Governing Board of the Media Council of Tanzania (MCT) held its first meeting on February 13, 2018.
MSA case slated for hearing March 13 at EA Court of Justice A case filed by media stakeholders at the East Africa Court of Justice, challenging some articles of the Media Services Act of 2016 is scheduled for hearing on March 13, 2017.
CoRI Special Committee to start meeting TV owners next week A special committee of Heads of member organizations of the Coalition on the Right Information (CoRI) has planned to start meeting with owners of Television station which were fined by the Ethics Committee of the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) as of next week.
Retired Judge Mlay commends complainants for using MCT’s Ethics Committee The Chairperson of the Ethics Committee of the Media Council of Tanzania retired judge, Juxon Mlay has highly commended those aggrieved by media coverage for registering complaints with the committee.

Resource Centre

IRC1

Press Clippings

Media Council of Tanzania Website

Jumatatu 11 Septemba 2017

Baraza la Habari Tanzania (MCT) limepokea kwa masikitiko taarifa za tukio la mashambulizo ya risasi lililotokea Septemba 7 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Mughwai Lissu, Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Singida Mashariki ambaye alijeruhiwa vibaya sana.

Baraza linaungana na wapenda amani na wadau wote wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani kitendo hicho cha woga na kumuombea Mhe. Lissu apone haraka. Mhe. Tundu Lissu ni mojawapo wa wabunge ambaye amejipambanua kama mtetezi wa haki ya maoni na kujieleza.

 Baraza linatumaini kuwa vyombo vya dola vitalishughulikia kwa haraka suala hili ili kuwachukulia hatua za kisheria wale wote waliohusika na shambulizi hili lisilofaa dhidi ya demokrasia na amani ya nchi yetu.

 Baraza linaungana na Watanzania wote kuwapa moyo familia ya Mheshimiwa Lissu na kuzidi kumuombea apone haraka.

 

Kajubi D. Mukajanga

Katibu Mtendaji

 

Media Headlines

MCT Videos
videoMore Videos...

Photo Gallery
photoMore Photos...

Journalism Awards

awaa

Visitors Counter

2468386
Today
All days
519
2468386

OUR RSS

  • No feeds found!