Wednesday, December 13, 2017
   
Text Size

ZA KISWAHILI

Articles

Muda wa kuwasilisha kazi za waandishi wa habari waongezwa

EJAT2011trophies

Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na washirika wake, limeongeza muda wa kuwasilisha kazi

za waandishi wa habari kwa ajili ya mashindano ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2016, kutoka Januari 31 hadi Februari 15, 2017.

                                                                     

Add comment


Security code
Refresh

Journalism Awards

awaa

OUR RSS

  • No feeds found!