A New Era for African Journalism: Highlights from the 2nd NIMCA Summit 2025 in Arusha

ARUSHA, Tanzania – The city of Arusha recently hosted a significant gathering of media leaders, regulators, and practitioners from across Africa and beyond. From July 14-17, 2025, the 2nd Network of Independent Media Councils of Africa (NIMCA) Summit, co-organized by the Media Council of Tanzania (MCT) along with the Media Council of Kenya (MCK) and the East […]

Mambo Muhimu Kutoka Mkutano wa Pili wa NIMCA 2025, Arusha, Tanzania

ARUSHA, Tanzania – Mkutano muhimu wa viongozi wa vyombo vya habari, wadhibiti, na watendaji kutoka kote Afrika na kwingineko, walikutana jijini Arusha hivi karibuni. Kuanzia Julai 14 – 17, 2025, Mkutano wa Pili wa Mtandao wa Mabaraza Huru ya Vyombo vya Habari barani Afrika (NIMCA), ulioandaliwa kwa pamoja na Baraza la Vyombo vya Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na […]

Waziri Mkuu Majaliwa: Akili Mnemba Siyo Kikwazo, Awaasa Waandishi Nchini

Arusha: April 29, 2025 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wanahabari nchini kutumia Akili Mnemba katika kutekeleza majukumu yao na kwamba wasiione kama kikwazo. Pia amewataka kuwekea mkazo maadili, habari za ujasiriamali na utamaduni. Waziri Mkuu, ambaye amekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, yaliyofanyika jijini Arusha, April […]

Ni EJAT YA aina yake

Na Paul Mallimbo Ilikuwa ni Jumamosi ya Septemba 28, 2024 iliyojaa furaha na shauku kwa tasnia ya habari nchini kutaka kujua washindi wa EJAT 2023, ambapo jumla ya wateule 72 wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2023, waliingia kwa shauku kubwa ukumbini kutaka kujua nani ataibuka kidedea katika Tuzo hizo. Ilipofika […]

Radio zatakiwa kuacha kuwa vijiwe vya soga

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura akisisitiza jambo kwa meneja na Mhariri Mkuu wa kituo cha redio ya Jembe FM kilichopo jijini Mwanza. Februari 13, 2025: Baraza la habari Tanzania (MCT), limezionya redio kuacha kuwa vijiwe vya kupiga soga na badala yake zijikite kwenye majukumu yake muhimu ambayo ni kuhabarisha, kuburudisha […]

Serikali yahimizwa kuifanyia marekebisho Sera ya Habari

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura (kushoto) akizungumzia shughuli zinazofanywa na MCT katika kituo cha redio cha Metro kilichopo jijini Mwanza. Wengine katika picha hiyo ni wasaidizi wa Katibu Mtendaji huyo, Said Hassan na Elizabeth Munisi. Februari 13, 2025: Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeikumbusha Serikali kuharakisha mchakato wa kuifanyia marekebisho Sera […]