Serikali yahimizwa kuifanyia marekebisho Sera ya Habari

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura (kushoto) akizungumzia shughuli zinazofanywa na MCT katika kituo cha redio cha Metro kilichopo jijini Mwanza. Wengine katika picha hiyo ni wasaidizi wa Katibu Mtendaji huyo, Said Hassan na Elizabeth Munisi. Februari 13, 2025: Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeikumbusha Serikali kuharakisha mchakato wa kuifanyia marekebisho Sera […]