Tanzanian Journalists Embark on Landmark Fellowship to Transform Education Reporting

MOROGORO, TANZANIA – A new era of education journalism has launched in Tanzania as 17 mid-career and senior journalists from the Mainland and Zanzibar began the inaugural ALiVE Education Reporting Fellowship (AERF). The initiative, a strategic partnership between the Media Council of Tanzania (MCT) and Uwezo Tanzania, aims to bridge national media coverage from basic […]
Waandishi wa Habari Tanzania Waingia Kwenye Udhamini wa Kihistoria Kubadilisha Ripoti za Elimu

MOROGORO, TANZANIA – Enzi mpya ya uandishi wa habari za elimu imezinduliwa nchini Tanzania huku waandishi wa habari 17 wa ngazi ya kati na waandamizi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakianza awamu ya kwanza ya Udhamini wa Ripoti za Elimu wa ALiVE (AERF). Mpango huu, ambao ni ushirikiano wa kimkakati kati ya Baraza la Habari […]
Kwa Mara ya Kwanza Tuzo za EJAT kuwa Kidijitali

Baraza la Habari Tanzania (MCT) Septemba 25, 2025 limezindua mashindano ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2024-2025. Tuzo hizi zimezinduliwa sambamba na uzinduzi wa mfumo na tovuti mpya kwa ajili ya uwasilishaji kazi za waandishi wa habari zitakazoshindanishwa ambao utakuwa wa njia ya mtandao. Akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo, Katibu […]
Mkutano Mkuu Wa 27
MCT Annual Report 2024

On behalf of the Media Council of Tanzania (MCT), we warmly welcome you to read our Annual Report for the year 2024. This report reflects a year of progress, challenges, and shared commitment towards strengthening press freedom, ethical journalism, and sustainable media development in Tanzania. Within its pages, you will find: Legal and Media Viability […]
A New Era for African Journalism: Highlights from the 2nd NIMCA Summit 2025 in Arusha

ARUSHA, Tanzania – The city of Arusha recently hosted a significant gathering of media leaders, regulators, and practitioners from across Africa and beyond. From July 14-17, 2025, the 2nd Network of Independent Media Councils of Africa (NIMCA) Summit, co-organized by the Media Council of Tanzania (MCT) along with the Media Council of Kenya (MCK) and the East […]
Mambo Muhimu Kutoka Mkutano wa Pili wa NIMCA 2025, Arusha, Tanzania

ARUSHA, Tanzania – Mkutano muhimu wa viongozi wa vyombo vya habari, wadhibiti, na watendaji kutoka kote Afrika na kwingineko, walikutana jijini Arusha hivi karibuni. Kuanzia Julai 14 – 17, 2025, Mkutano wa Pili wa Mtandao wa Mabaraza Huru ya Vyombo vya Habari barani Afrika (NIMCA), ulioandaliwa kwa pamoja na Baraza la Vyombo vya Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na […]
Waziri Mkuu Majaliwa: Akili Mnemba Siyo Kikwazo, Awaasa Waandishi Nchini

Arusha: April 29, 2025 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wanahabari nchini kutumia Akili Mnemba katika kutekeleza majukumu yao na kwamba wasiione kama kikwazo. Pia amewataka kuwekea mkazo maadili, habari za ujasiriamali na utamaduni. Waziri Mkuu, ambaye amekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, yaliyofanyika jijini Arusha, April […]
Ni EJAT YA aina yake

Na Paul Mallimbo Ilikuwa ni Jumamosi ya Septemba 28, 2024 iliyojaa furaha na shauku kwa tasnia ya habari nchini kutaka kujua washindi wa EJAT 2023, ambapo jumla ya wateule 72 wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2023, waliingia kwa shauku kubwa ukumbini kutaka kujua nani ataibuka kidedea katika Tuzo hizo. Ilipofika […]
Radio zatakiwa kuacha kuwa vijiwe vya soga

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura akisisitiza jambo kwa meneja na Mhariri Mkuu wa kituo cha redio ya Jembe FM kilichopo jijini Mwanza. Februari 13, 2025: Baraza la habari Tanzania (MCT), limezionya redio kuacha kuwa vijiwe vya kupiga soga na badala yake zijikite kwenye majukumu yake muhimu ambayo ni kuhabarisha, kuburudisha […]